Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama bado hujapata....
 
He he he....Wacha Bwana..
Inabidi ifanyike namna wakati mwingine uwepo aisee...Wazee wangu wapelekewe zile ng'ombe za Usukumani jamani..

Ikishindikana sana muagize ELY asimamie hilo zoezi


Sent using Jamii Forums mobile app

ELY simwamini aisee
.

Afadhali tu nije kusimamia hilo zoezi mwenyewe aisee. Nina ng'ombe 81 hata mchukue 50 hivi sawa tu kwa kweli ...
 
Ha ha ha...Fanya namna aisee
Tupate na Ndama kama wapo

ELY hafai kumbe

Wewe T 1990 ELY hebu kuja kipande hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida mnachagua wenyewe ng'ombe mnaowataka - madume, ndama, majike yenye mimba, yanayonyenyesha n.k.

Usinichongee sana basi kwa ELY jamani. Mdogo wangu yule tumeshibana sana japo wanaume wa Kisukuma huwa hatuaminiani mbele ya mwanamke mlimbwemde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…