Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha umemkalia kooni eden hazard leo..

 
Wanatuchanganya hawa wapuuzi [emoji30][emoji35][emoji34][emoji49][emoji83][emoji84][emoji88]
 
Mimi nilishasema sitoacha kula kitu chochote kisichouwa....wazee wetu zaman wamegonga sana hayo madude na wameishi miaka ya kutosha. Mimi nitakula nyama hadi nikiwa kitandani dk za mwisho kabisa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…