asee.. bata langu huwa nakula bambalaga nikiwa dodoma, nikiwa dar es salaam ni samaki samaki na nikiwa mwanza huwa Diamond, The Cask au malaika.. christmass sijui nitakuwa mkoa gani kati ya hiyo tajwa