Mimi napenda nijifanyie mwenyewe siyo nimfanyie mtu na mimi wala sitaki mtu anifanyie, yaani kwangu mimi hata kutafuta housegirl itakuwa ni last option. Labda ifikie hatua niwe busy kiasi cha kukosa hata muda wa kulala vizuri, ndiyo nitatafuta housegirl ila otherwise napenda niishi peke yangu.