Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Mimi napenda vya bure sina hela za kununua.Ajaribu anaweza vipata, mie huwa sitaki vitabu vya bure wizi wa kazi za waandishi hapana.. napenda kuchangia sehemu ya gharama walizo ingia pia ni kama mbengu
Ndiyo mkuuOoh!!kumbe
Kuna wanyaki nimewasikia/ona wanaimba
Kwa nini nivitafute?
😊😊😊.. kweli ningekupatia vingekuwa vipo kwenye pdf. Napenda kununua kwasababu roho inauma nitoe hela alafu nisisome naona kama nimetupa helaMimi napenda vya bure sina hela za kununua.
Ndiyo maana nimeomba ambavyo tayari unavyo,
Bahati mbaya umesema haiwezekani kushare.
Ni kama baba anavyopelekea watoto kitabu alichonunua.
Wanakuwa hawajaiba balo wamepewa.
Mlengwa ni Saint Anne, kaambiwa anaweza anza na list ya vyangu, moja wapo vilivyopo ni hivyoKwa nini nivitafute?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].. kweli ningekupatia vingekuwa vipo kwenye pdf. Napenda kununua kwasababu roho inauma nitoe hela alafu nisisome naona kama nimetupa hela
[emoji119][emoji38][emoji119]Mmhh sijajua kwa Huku kwetu matakoni mwa jiji
... na kila mtu ana principal zake za maisha.
Mmh mimi kujifanyia mwenyewe tu huwa naona taabu sembuse kumfanyia mtu [emoji2297][emoji2297][emoji38]
Mimi najifanyia tu wala huwa sioni shida.
Sichagui kazi.
Nimekuwa kiraka wa familia,kila mtu akikohoa nipo.
Mimi namfanyia mtu vizuri ,,tena asipokuwepo wa kufanya ndo kabisa..Mmh mimi kujifanyia mwenyewe tu huwa naona taabu sembuse kumfanyia mtu [emoji2297][emoji2297]
Uzee huuUmezeeka wapi na wewe unapenda uzee ee[emoji1]
Uzee huu
Age imeenda mno.
We katoto bado sanaUzee huu
Age imeenda mno.
Katoto?We katoto bado sana
[emoji38]Mmmh ngoja ufikie age yetu
[emoji7][emoji120]
Hee [emoji23] Shkamoo!!!!Katoto?
Nina 35