Yeah voda speed yake ndiyo inafanya watu wasiihame hata kama vifurushi vinaumiza. Mambo mengi muda mchache masuala ya kukaa unasubiri mtandao uload kama unasubiri mshahara mtu anaona bora akomae kibishi tu na voda mambo yaende.Kwa speed voda hana mpinzani.
Airtel inasumbua lakini si kwa kiwango hiki wanachokisema watu hapa.
Jaribu airtel ni nzuri.Yeah voda speed yake ndiyo inafanya watu wasiihame hata kama vifurushi vinaumiza. Mambo mengi muda mchache masuala ya kukaa unasubiri mtandao uload kama unasubiri mshahara mtu anaona bora akomae tu na voda mambo yaende.
Hahaha.....nyingine bhageshiHii ndo shingo ya mahondaw inayosifiwa au ni nyingine bageshi? Hiyo shingo imenipita japo imebidi niende kwa dada ya Korona ili kulinganisha. We ulibahatisha ukaiona shingo ya Mahondaw?
Mungu akusaidie uendelee na moyo huo huo mdogo wangu. Ninavyozichukia kazi za ndani ni muumba tu ndio anajua.Naogopa naweza kukutafutia mtu halafu akakusumbua.
Ungekuwa karibu ningekusaidia for free...
Sasa huko mbali,na mimi ni multi purpose.
Mmhh sijajua kwa Huku kwetu matakoni mwa jijiJaribu airtel ni nzuri.
Heaven Sent umefuta nini dada mkubwa?
Mungu akusaidie uendelee na moyo huo huo mdogo wangu. Ninavyozichukia kazi za ndani ni muumba tu ndio anajua.
hahahaha.hujafikaNakujaa fastaaaaa 🏃🏃🏃
Tuntufye Kyala Ghwitu maana yake nini Saint Anne ?
Mimi najifanyia tu wala huwa sioni shida.
Sichagui kazi.
Nimekuwa kiraka wa familia,kila mtu akikohoa nipo.
Ooh Kuna rafiki yangu Pastor anavyo vingi sana; nitakuombea then nikutumie. Ungekuwa unavijua majina exactly; Shimba Ya Buyenze angekushushia fasta; otherwise akutafutie tu atakavyoweza kuvipata
Tumsifu Bwana wetu.Tuntufye Kyala Ghwitu maana yake nini Saint Anne ?
Au labda umsaidie; kuna vile ambavyo amevipost Kijana wa hovyo hovyo hapo juu; ungemdanlodia hivyo kwanzaNipe orodha kamili ya vitabu unavyovitaka (jina la kitabu na mwandishi) na nitakutumia kwa pdf hapa hapa...
Ooh!!kumbeTumsifu Bwana wetu.
Ajaribu anaweza vipata, mie huwa sitaki vitabu vya bure wizi wa kazi za waandishi hapana.. napenda kuchangia sehemu ya gharama walizo ingia pia ni kama mbenguAu labda umsaidie; kuna vile ambavyo amevipost Kijana wa hovyo hovyo hapo juu; ungemdanlodia hivyo kwanza
Ngoja nikifika home nifungue library yangu ya vitabu vya dini.....na uzuri kuna vingine hapo nshavisoma.Au labda umsaidie; kuna vile ambavyo amevipost Kijana wa hovyo hovyo hapo juu; ungemdanlodia hivyo kwanza
atafute na hiviAu labda umsaidie; kuna vile ambavyo amevipost Kijana wa hovyo hovyo hapo juu; ungemdanlodia hivyo kwanza
Ajaribu anaweza vipata, mie huwa sitaki vitabu vya bure wizi wa kazi za waandishi hapa.. napenda kuchangia sehemu ya gharama walizo ingia pia ni kama mbengu
Hatujaelewana, nimezungumziwa vya wizi, hivyo unavyo sema ni legal sina shida navyo. Naheshimu kazi za waandishi na jasho lao. Sio kwamba najihesabia haki, nafikiri hapo umenielewa vibaya na kila mtu ana principal zake za maisha, kitabu cha bure sitaki napolipia nakuwa na uchungu na hela yangu, najua nitakisoma,Siyo wizi mkuu. Ni program halali zilizo wazi na nadhani zinaingia maelewano na publishers vinginevyo ukijaribu kuiba wanaku-shut down mara moja. Pia usiwe so self righteous. Naona kama vile uko mwepesi sana wa kuhukumu wengine. Mimi pia ni mwandishi wa vitabu na nisingependa kazi zangu zichukuliwe bure!