Mitandao yote nimetumia ila kasoro TTCL, kiukweli airtel iko vizuri upande wa vifurushi internet, tatzo mtandao wao uko slow sana.Wakuu kwa anayetumia Airtel naomba aniambie au akiweza anioneshe vifurushi vyao, hasa vya internet vikoje nataka niujaribu na huu mtandao.
Bongo hapa mitandao ambayo sijatumia ni Airtel na Zantel tu, Zantel sijawahi kuwaza kutumia maana nasikia iko vizuri zaidi kwa upande wa Zanzibar kuliko Bara.
Airtel ndiyo nimekuwa nikijishauri nitumie au nisitumie, ila kwa sasa nimefikia muafaka kuwa niangalie kwanza muelekeo wa vifurushi vyao ikishindikana basi narudi TTCL.
Kwa sasa natumia Vodacom na Halotel ila nataka niachane na Halotel maana siwaelewi na Tigo ndiyo kabisa sitaki hata kuwasikia, japo Vodacom wanazingua ila sitakiwi kuuacha.
Atakua ndo Umi mwenyewe bila shaka❤️Shingo imejigawa vizuri una ujamaa na Ummy Mwalimu
Hujaselfika kitambo ujue fanya wepesi basi!!Shos km shos [emoji7][emoji7][emoji7]
Mpendwa hakuna unafuu kote kote ni kukaza shingo tuWakuu kwa anayetumia Airtel naomba aniambie au akiweza anioneshe vifurushi vyao, hasa vya internet vikoje nataka niujaribu na huu mtandao.
Bongo hapa mitandao ambayo sijatumia ni Airtel na Zantel tu, Zantel sijawahi kuwaza kutumia maana nasikia iko vizuri zaidi kwa upande wa Zanzibar kuliko Bara.
Airtel ndiyo nimekuwa nikijishauri nitumie au nisitumie, ila kwa sasa nimefikia muafaka kuwa niangalie kwanza muelekeo wa vifurushi vyao ikishindikana basi narudi TTCL.
Kwa sasa natumia Vodacom na Halotel ila nataka niachane na Halotel maana siwaelewi na Tigo ndiyo kabisa sitaki hata kuwasikia, japo Vodacom wanazingua ila sitakiwi kuuacha.
Namba 2 hapa!! Unapotea sana rafikiLeo na mimi nimewahi [emoji111]
Kwa kweli humu kuna warembo ❤️🥰🥰Atakua ndo Umi mwenyewe bila shaka
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃!😜😜❤️Shingo imejigawa vizuri una ujamaa na Ummy Mwalimu
Shingo kama hiyo shem awe ana inaniii 😎😎😎🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃!😜😜
🙄🙄🙄🙃🙃🙃Shingo kama hiyo shem awe ana inaniii 😎😎😎
Chat na pichanimepitwa na nn humu ?km selfie tupieni tena
Nikiona like zako huwa nacheka nakumbuka comment yako kwenye uzi wa like 😬😂Haha nakuona mpendwa, upo vizuri
hahahaha ..hebu waoneshe mfano kwanzaChat na picha
Ntaweka baadae shos, kuwa mtulivu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Hujaselfika kitambo ujue fanya wepesi basi!!
Mkuu mimi leo nimetupia kumi na uchee Sefika wewe toka uzi uanze umegoma kabisaaa tupia hata dole gumba basiii😬😬😬hahahaha ..hebu waoneshe mfano kwanza
Haha kuna sehemu huwa nakukuta, inabidi nisome comment tu bila ku like,najisemea mwenyewe tu mpendwa huyu ana balaa sana[emoji28][emoji28]Nikiona like zako huwa nacheka nakumbuka comment yako kwenye uzi wa like [emoji51][emoji23]