Umefufukia wapi rafiki Jana ukazingua..!!! Kweli niliwaandalia wewe na msukuma Shimba Ya Buyenze Ila mkafia timuhahahahaha
Aaaaaaaaa acha hizo bhanaaaa!Nchi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni Kyela vijijini huko Mkuu
Usije ukanisahau na chuichui wako mwanawane.
Japo unitag tu hahahah
Saint Anne huwa selfie zake zinanipita ngoja nipande Mlima
Ndio nkataka kushangaa, shingo hiyo iko wapi??Shingo!!!?? 🤣🤣🤣 Wapi hapoo???
Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo?
Wanyaki yamo kwa kweli[emoji3]
Aaaaaaaaa acha hizo bhanaaaa!
Nilipoona tu umechelewa kujibu nikajuwa tu inatèmbea.Inatembea.
Sawa best, sitabana tena.
🤣🤣🤣🤣.. nimeona nimeona best...Kumbeeee??? Sio vibaya bestyyyy. Hawa watu wa Mbeya umoja wao si wa kitoto ndio wakaamua wawe na chui chui day
Nilikuwa sijui nkamu, ingawa tabia zetu zinaendana kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani kumbe ulikuwa haujui? .
Live zinafutwa siku hiziNikimpata tu, utamuona hapa live
Nzuri
Dec 15[emoji173]View attachment 2044574View attachment 2044575
Asante
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Naona leo ni chuichui day kwa wanyaki. Karma tutafute na sisi chuichui tuselfike[emoji23][emoji23]
[emoji7]Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Wee mirsz nawe mtundu mtundu kumbe!!Ndio nkataka kushangaa, shingo hiyo iko wapi??
Au T 1990 ELY kaona vibaya??
Live zinafutwa siku hizi
Ponapona yangu ni dawa za asthma.mwee Nkamu pole sana
Heaven Sent[emoji23][emoji23]