Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana ...
Miaka ya mwanzoni uchungu ni mkubwa sana ila kadri siku zinavyoenda Mungu anazidi kufariji .

Happy belated birthday too .
 
Pole kumpoteza mama mkuu, tena kwenye siku yako ya kuzaliwa. Ilitokea kwangu pia, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa nikapoteza mtu muhimu.
 
Huu mwandiko kama mashairi ya kitabu Fulani kwenye bible. Daa Ile mistari inamsifia mwanamke mpaka anaenda kibra mwenyewe. Ngoja niitafute nikumbushie.
Kitabu cha "Wimbo Ulio Bora" nadhani kimeandikwa na Mfalme Suleimani - Mfalme Tajiri wa mali, Hekima na Wake. Nadhani hatotokea Mtu wa kuvunja RECORD yake kwenye maeneo hayo.

Unakuta Mwanamke analalamika mume wake ana michepuko anasahau Suleiman peke yake alikuwa na michepuko(Masulia) zaidi ya 700🙌
 
Mambo mengine ni kusumbua watu tu. We najua huwezi kuninunia halafu. I hope hujambo na wapendwa wako!
Ungetukumbusha tu ili walau tukuimbie "hepi sabidei" last born wetu


Naanzaje sasa kukununia ngosha wetu unayependa kutuchokoza wanyakyusa


Wote hatujambo kabisa mkuu sijui wewe


May our beloved mom keep resting in peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…