Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujatulia Jack nakwambia
......
Mheshimiwa nimekwisha kueleza
..
Maneno matamu umejwisha niambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Hujatulia h.....nakuambia
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]


Ray C &Temba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiih. cc wee una nn lakini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko mfanye fanye ntakua MC, si unajua balaa langu lazimaa ninogeshe ukumbi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Amepost picha,umemuona alivyo gentleman??
 
Akaishije the rest days!?![emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaje shos, kila akienda kwa rafk zake wanamkataa, kila akijaribu iv wapi, sjui hata nan alimuambia aje kwangu, mtu sina mazoea nae wala hata sijawah kuongea nae, tunaona kwa macho bas,

Yaan nlimuonea huruma, nkampa 60k, akashukuru, ananambia "nlijua kwako lazima ntapata" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkamuambia je na mie nisipokua nayo anajibu "wee hela yako unafanyia nini kununua maandazi? " nlicheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Chuo urafiki wa mdomoni, sio kusaidiana khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui ilipoisha alifanyaje hata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…