Selfika na JF: Snap it. Show it

Nlikua nambishia rafk angu nkamuambia hakna pombe inayozidi elfu 50, sasa nlikua naogopa kukuuliza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kheeeeh bas watu wana pesa, pombe ya 65k inajaa lita 5 au? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona zipo za 90K
 
Na hizi ni bei utazikuta kwenye liquor store!..night club 120K - 150K[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, umenikumbusha hapa sasa ndo naanza kuelewa, kna mwanafunzi alimaliza hela ya boom lote siku 1 huko club sjui pub,

Mie nkawa nashangaa zaidi ya 45OK imeisha sku 1 kanunua kinywaji gan, ukute alinunua hizo 2 na zingne ndogo, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…