pole kwa yaliyokukumba mheshimiwawakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media
mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full
akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....
so guys kuweni makini sana
Aise umekuwa mtakatifu ghafla??mungu akusamehe tu ata shetani akusamehe pia
Kwani mimi nimesemaje Mufti?? nimesema tu zamani nilikuwaga najiuza pamoja na nabii tito
sijawahi kuwa mtakatifu hata kidogo sister nipo kwenye mfungo tuAise umekuwa mtakatifu ghafla??
[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa [emoji108].....
Mkuu siasa nazo zina nafasi yake..Wabaki tu na siasa zao sina faida nazo wala hasara nazo
Mkuu siasa nazo zina nafasi yake..
Haha sema[emoji23][emoji23][emoji23]sijui niseme na mimi? [emoji30][emoji30][emoji30]
Yale machimbo yetu, nmekuta zaga limetulia kunipokea[emoji44][emoji44][emoji44]
asante sana mkuupole kwa yaliyokukumba mheshimiwa
Jana Jana?
Naukome kabisa.[emoji28]
Nipo kukusanya hesabu tuu.View attachment 1224151
Wakati wenzangu mnapew nywels sijui nilikua wapi
wakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media
mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full
akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....
so guys kuweni makini sana