Ata mimi nililiona humu ila naona wengine wanaona poa ,nilichofanya nikawaignore post zao sioni ila hiz siku imekuwa too much walishawah kunikimbiza kwenye hili jukwaa
Babuuu unanionea sasa wallah iv, mbna mie nshakua cool na mambo yangu tangu mda, c we apo na huyo mwenzio ndo mmeleta hizo mada hapa tena, sijui chimao na huyo Congolese sijui
Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane..
Mjukuu ni utashi na hekima tuu.. Sio uonevu wala si kutafuta mkosaji ...ni UTASHI na ni HEKIMA.. Haya mawili huepusha shari nyingi.. Ukiweza YAZINGATIE.. nimetumia neno UKIWEZA ambalo bado linaturudisha kwenye UTASHI