Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu unanipa hongera kuwa na dimples
..me siyo omy asee na siko proud nazo kbs
Huyu mwenzio mbona kazifanya kuwa sehemu ya utambulisho wake? Ukizitumia vizuri utapiga hela mpaka uombe poo. Kama ni MD kama ulivyogusia hapo juu utasikia tu wagonjwa "mi sitaki surgeon mwingine anifanyie operesheni mpaka yule mwenye dimpozi". Jikubali mkuu kwa sababu hakuna namna

 

Usinitendeshe dhambi,nipo kwenye mfungo


Usije sababisha funga yangu ikaharibika hapa,nikawa nimeshinda njaa bure.
cc usinichekeshe mie, mambo ya humu na hiyo funga yako mbna mbali mbali sana


Wee mwenyewe angalia vituko na vibweka vya humu, unadhan nini sasa?


Yaan inakua sizitaki mbichi hizi, kumbe umeshindwa kupanda juu.
 
Mzee mwenzangu kumbe na huku familia ,long time
Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…