Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huu uzi, hata unune utashindwa unakutan na comments unacheka km chizi vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka mwenyewe kama chizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uzi una mkanganyiko huu akiyanani[emoji38][emoji119]
 
Nilikwambia nini ulipompigia makofi ya kumpongeza? [emoji16][emoji16][emoji16]

Anaandaa sredi. Labda ikikamilika ndo kidogo purukushani huku zitapungua..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna comment fulani, nimecheka hapa nusu niangushe cm, afu kapiga kwenye mshono. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]
Usinitendeshe dhambi,nipo kwenye mfungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usije sababisha funga yangu ikaharibika hapa,nikawa nimeshinda njaa bure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie ntakufa kwa kucheka huku.
Mjukuu wangu mpendwa nadhani imetosha sasa.. Nadhani ukiweza tutoe nafasi sasa kwenye muktadha wa mada maisha yasonge! Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nacheka hapa, jinsi wanavoparuana wao kwa wao, yaan wanageukana na kuchokana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbavu zangu mie lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…