Mwanangu huoni trend ya mabishano? ukipandisha juu kidogo km 5 days ago kulikuwa na vita ya maana hapa.kuna watu wanajibizina hayo maswala.
Mtu unaamua ufungue Uzi uangalie picha unakuta story za mashoga na maresbian,wengine wanapinga wengine wanasuport
Basi unaamua kupita kimyakimya Tu bila salamu na yeyote
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app