Mmh ngosha huu uongo wa bei rahisi hivi umeuanza lini jamani [emoji2297][emoji2297]Miaka 76 in three days nikiselfika hapa mbona mta-log off?
Wengine ni hivi hivi tu hatupaswi kuonekana. Yaani mtu unapiga picha unajaribu kutumia filter ili kupunguza makunyanzi usoni filter yenyewe inakuambia "Your face is not compatible with our filter" [emoji15]
Dada huyu hata habari za Mungu hataki kuzisikia tumuache kwanza maana nimebishana sana hadi njaa imeniuma wakati nimetoka kula [emoji2297][emoji2297]Anasema eti tumuache kidogo aenjoy tudhambi twake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] [emoji23][emoji23]
Pilau na kabichi [emoji39][emoji39]Ameeenn! Nyote kwa pamoja naomba tujumuike katika pilau ya uhuru!! Karibuni sana!!View attachment 2038578
Hakuna tukio babe wangu...kumbuka huyu ni ex wangu anataka kutuharibia tu😅Kwahiyo nisubiri kupigwa tukio kumbe[emoji134]
Babe Jack ni tukio gani nijiandae kisaikolojia kabisa baba?
Kachumbari hio!Pilau na kabichi [emoji39][emoji39]
Utaniua kwa presha babe❤Nilikua natania babe wangu
Kwako nimefika na mabegi yangu yote
God have mercy on me [emoji22]Tukio,??
Matukio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa njaa yangu imeamkaAmeeenn! Nyote kwa pamoja naomba tujumuike katika pilau ya uhuru!! Karibuni sana!!View attachment 2038578
Really babe[emoji9]Hakuna tukio babe wangu...kumbuka huyu ni ex wangu anataka kutuharibia tu[emoji28]
Kukuua siwezi babe bado nina kazi nawe kwa mapana na marefuUtaniua kwa presha babe[emoji173]
My ex unaniua kabisa 🙌Tukio,??
Matukio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa ziba maskio babe tujenge penzi letu😘Really babe[emoji9]
Doh basi mie nimeona kabichi anyway that is one of my best foods [emoji4][emoji4]Kachumbari hio!
😙Kukuua siwezi babe bado nina kazi nawe kwa mapana na marefu
[emoji39][emoji39][emoji39]Ameeenn! Nyote kwa pamoja naomba tujumuike katika pilau ya uhuru!! Karibuni sana!!View attachment 2038578
Afe kipa afe beki slides lazima ziishe[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimamoto wakat wa UE ni noma. Hahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree sana.Afe kipa afe beki slides lazima ziishe[emoji16]