Unachekesha sasa.. wapi nimesema kuna dhambi bora ? Nimeweka aina ya dhambi katika ma group.. kuna mfano uzinzi ni dhambi mtu anafanya katika mwili ( dhambi inayofanyika ndani ya mtu) kasome korinto, kuna dhambi against Mungu, na kuna dhambi against ndugu..
elewa hivi dhambi ni roho, na elewa kila roho ina weight yake..
Kumkufuru Roho Mtakatifu unaelewa maana yake sasa ?
Kwa ufupi kumkufuru Roho Mtakatifu ni kufikia hatua ya kukataa msamaha wa Roho na conviction ya dhambi katila mtu husika.. na sio based on action ya mtu