wapi nimesema kuna dhambi zina afadhali umenisoma vizuri na kunielewa tokea mwanzo nilipokuwa nimechangia hiki kitu? rudi soma kama una mda post yangu ya kwanza utanielewa.. Unafikiri kinachopeleka mtu motoni ni dhambi ? Ukielewa dimension za dhambi na maana harisi ya dhambi nafikiri hutopata shida kuelewana na mie, ila hapa hutokaa kunilewa..
Ufunuo wa Yohana 22:2
katikati ya njia kuu yake. Na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwapo mti wa uzima, uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti huo ni ya kuwaponya mataifa.
Mbinguni mti wa uzima wa kazi gani?
Kuwapomya mataifa kwa jambo lipi?
.. ukielewa hayo tunaweza zungumza lugha moja ila kama huwezi elewa hapo kamwe haitokaa tukaelewana