Wee mwanamke Ndo nini kutuma na kufuta?? [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45] ![emoji51][emoji51][emoji7][emoji7]kwani kwenda kutoboa dimpoziii sh. Ngapi jamanii na mimi nikwende mimi navyo vya pendeni ya mdomo sivipendiii[emoji51]
😜😜Nitaweka nyingine usijaliWee mwanamke Ndo nini kutuma na kufuta?? [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45] !
Leo joto vipi bestie?Wee mwanamke Ndo nini kutuma na kufuta?? [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45] !
[emoji322][emoji323][emoji322][emoji323][emoji2]Naona leo nimeangukiwa na zali la kuhongereshwa uwii! Ajabu sasa sina hata ka champagne humu ndani ka kujipongezea.
Asante sana bageshi. We mwenyewe u mpole mpaka basi yaani. Kaka mtu nasubirisha tu shemeji atakayejitokeza tumpige ng'ombe za kueleweka kwa kutuchukulia cha upole wetu...Blessings sana[emoji120][emoji2536]
Halafu bageshi. Hivi ulishawahi kuselfika humu kweli? Naomba nikuone bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kweli ni mfano mzuri unaonyesha maana mambo ya malumbano/matusi sio kabisa.Naona leo nimeangukiwa na zali la kuhongereshwa uwii! Ajabu sasa sina hata ka champagne humu ndani ka kujipongezea.
Asante sana bageshi. We mwenyewe u mpole mpaka basi yaani. Kaka mtu nasubirisha tu shemeji atakayejitokeza tumpige ng'ombe za kueleweka kwa kutuchukulia cha upole wetu...Blessings sana[emoji120][emoji2536]
Halafu bageshi. Hivi ulishawahi kuselfika humu kweli? Naomba nikuone bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante bageshi [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]Kweli ni mfano mzuri unaonyesha maana mambo ya malumbano/matusi sio kabisa.
Eeh la muhimu hilo kaka, ng'ombe watahusika tu sana lazima usimamie show [emoji23][emoji23]
Me upole si nimerithi toka kwako kakangu[emoji4][emoji120]
Nishaselfika sana tu mie huku, angalia vizuri eti utaniona[emoji2]
Uwe unanitag jamani!![emoji12][emoji12]Nitaweka nyingine usijali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilikua ya kawaidaLeo joto vipi bestie?
Tutegemee kakitu au leo hapana? [emoji16][emoji16][emoji2099]
Heeee, hebu endelea kilichotokea.....Kuna afande mmoja alikuwa anaingia class akikukuta umezubaa ' umekaa kaa kiree anakuwasha banzi moja takatifu afu anakwambia smile au cheza kiduku.
Alinikutaga sijavaa skafu [emoji5] alooooh [emoji1787]
Unajua kujaza mafuta? 🤣🤣Heeee, hebu endelea kilichotokea.....
Halafu picha ina visa hii. Eti haijafunguka kwenye mkweche wangu huu wa simu. Usiifute pulizi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilikua ya kawaida
Afu leo nipo moodless kweli kweli!!!View attachment 2036458
Kweli kabisa aisee, huwa nakuwa inspired sana na watu kama ninyi ambao siyo short tempered na siku zote huwa mna positive response even towards negative comments thrown up on you and you dont care.Oooh! Thanks mai furendi...
Na uzee wote huu kuanza tena kutukanana na wajukuu humu dah! Wengine huchukulia kama ni udhaifu hata huku mtaani lakini kuna faida nyingi sana kisaikolojia kuwa calm. Hupati mahomoni haya ya stress hovyo hovyo na roho yako inabakia kuwa nyeupe.
Isitoshe niko mahali yaani social life imeharibiwa sana na Korona. Kwa hivyo JF hapa ndiyo kijiwe changu cha kahawa kuja kutaniana na kucheka. Sasa niache tena kucheka na kufurahi niingie kwenye kutukanana? Hapana. Ndo maana nilikimbia hata jukwaa la siasa japo mara moja moja nikitamani kuyakoga matusi naendaga huko kuchokoza watu tu [emoji16][emoji16][emoji16].
Yeah! It costs us nothing to treat everyone with respect hata kama hatujuani. Actually that's a reflection and a true measure of a man's integrity and self awareness. Kuna mambo mengi ambayo, kama binadamu, hatuwezi kuya-control. Nguvu zetu, hata hivyo, zimo katika namna tunavyo-respond.
Asante sana Karma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watakwambia bado pua [emoji16][emoji16]Unganisheni na yale macho [emoji2957] Nuzulati View attachment 2036256
Sema na we mwanangu tangu umebadili id ule uchizi wako umeupunguza sana asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unapenda vitu vitamu laini! Nikija Mbagala nitakununulia utakula hadi meno yafanye uyeye!!
Aah damu yetu si unaijua kalumbu kidogo tu tushawaka [emoji2][emoji2]jamaaa mtu sana huyo....nimeanza kumfuatilia kitambo wengine ni mashort temper kidogo tunapanik[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilikuwa nimetingwa kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo, walau sahivi ndio napumua! Si unajua maisha yakibana [emoji38][emoji38][emoji38]Sema na we mwanangu tangu umebadili id ule uchizi wako umeupunguza sana asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu picha ina visa hii. Eti haijafunguka kwenye mkweche wangu huu wa simu. Usiifute pulizi...