usinikumbushe kilichonipata mwaka huu msimu wa kuvuna
Watu 12,nimeambiwa nisinge ugali mie
Sufuria ndogo
Mwiko hakuna
Siwezi kusonga ugali wa zaidi ya watu 4
Asee nilisonga ugali Mara 3,nilitumia lijiti kusongea
Mboga sasa mchuzi ogelea
Halafu wakasema hawajashiba
Sent from my itel W5002 using
JamiiForums mobile app