Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 6, 2021 #121,301 mahondaw said: Nibariki na selfie mjeda jamani! Nasikia TU wanakuita mjeda haha! Click to expand... hahahaha..eti mjeda ...siku nyingine
mahondaw said: Nibariki na selfie mjeda jamani! Nasikia TU wanakuita mjeda haha! Click to expand... hahahaha..eti mjeda ...siku nyingine
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Dec 6, 2021 #121,302 Kijana wa hovyo hovyo said: Aseee... Asante Mungu ❤️ Click to expand... Unabahati haijafutwa wenzio tumeshabarikiwa tayali
Kijana wa hovyo hovyo said: Aseee... Asante Mungu ❤️ Click to expand... Unabahati haijafutwa wenzio tumeshabarikiwa tayali
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 6, 2021 #121,303 Karma said: Click to expand... Tutamalizana tu kwa hili asee 😁😁😁 huu ni mjadala wa kitaifa
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Dec 6, 2021 #121,304 SHIMBA YA BUYENZE said: Wewe najua unatania. Mimi ni kweli! Na mwaka huu naalika baadhi ya wanaJF waje wahakikishe wenyewe! Click to expand... Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu
SHIMBA YA BUYENZE said: Wewe najua unatania. Mimi ni kweli! Na mwaka huu naalika baadhi ya wanaJF waje wahakikishe wenyewe! Click to expand... Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 6, 2021 #121,305 Manga ML said: Unabahati haijafutwa wenzio tumeshabarikiwa tayali Click to expand... Hatari sanaaa, mie nilikuwa naichunguza kwanza, niliona siku nyingi nika download kwa ajiri ya kuirudi rudia kwanza kabla ya comment
Manga ML said: Unabahati haijafutwa wenzio tumeshabarikiwa tayali Click to expand... Hatari sanaaa, mie nilikuwa naichunguza kwanza, niliona siku nyingi nika download kwa ajiri ya kuirudi rudia kwanza kabla ya comment
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,433 Dec 6, 2021 #121,306 Manga ML said: Nimeibeba kiimani mtumishi ni kama mcha Mungu sina hakika japo Click to expand... Mengine (mf. kuchunguza ucha Mungu wa mtu) mwachie Mungu mwenyewe kwa sababu mwenyewe pekee Ndiye mwenye mamlaka hayo; na wewe kama wewe huna mamlaka hayo!
Manga ML said: Nimeibeba kiimani mtumishi ni kama mcha Mungu sina hakika japo Click to expand... Mengine (mf. kuchunguza ucha Mungu wa mtu) mwachie Mungu mwenyewe kwa sababu mwenyewe pekee Ndiye mwenye mamlaka hayo; na wewe kama wewe huna mamlaka hayo!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 6, 2021 #121,307 Joto!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 6, 2021 #121,308 mtu chake said: hahahaha..eti mjeda ...siku nyingine Click to expand... Mi nataka leo rafiki!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,433 Dec 6, 2021 #121,309 Manga ML said: Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu Click to expand... Ya muhimu ndiyo yapi? Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe? Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya?
Manga ML said: Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu Click to expand... Ya muhimu ndiyo yapi? Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe? Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Dec 6, 2021 #121,310 Manga ML said: Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu Click to expand... Mkuu kwamba umemuamini sio?
Manga ML said: Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah. Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu Click to expand... Mkuu kwamba umemuamini sio?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,125 Reaction score 831,803 Dec 6, 2021 Thread starter #121,311 SHIMBA YA BUYENZE said: Ya muhimu ndiyo yapi? Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe? Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya? Click to expand... Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya?
SHIMBA YA BUYENZE said: Ya muhimu ndiyo yapi? Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe? Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya? Click to expand... Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Dec 6, 2021 #121,312 mahondaw said: Joto! View attachment 2035001 Click to expand... Dah! Ishakuwa shida tayari!
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Dec 6, 2021 #121,313 Kijana wa hovyo hovyo said: Hatari sanaaa, mie nilikuwa naichunguza kwanza, niliona siku nyingi nika download kwa ajiri ya kuirudi rudia kwanza kabla ya comment Click to expand... Yaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani? Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa
Kijana wa hovyo hovyo said: Hatari sanaaa, mie nilikuwa naichunguza kwanza, niliona siku nyingi nika download kwa ajiri ya kuirudi rudia kwanza kabla ya comment Click to expand... Yaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani? Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Dec 6, 2021 #121,314 SHIMBA YA BUYENZE said: Mengine (mf. kuchunguza ucha Mungu wa watu) mwachie Mungu mwenyewe kwa sababu mwenyewe pekee ndiye mwenye mamlaka hayo. Ni ushauri tu - tena wa bure! Click to expand... Nimeubeba mkuu sijui nauchunguzaje kwa maandishi Labda nimevuka mipaka kutaja zambi ni utani pia mkuu
SHIMBA YA BUYENZE said: Mengine (mf. kuchunguza ucha Mungu wa watu) mwachie Mungu mwenyewe kwa sababu mwenyewe pekee ndiye mwenye mamlaka hayo. Ni ushauri tu - tena wa bure! Click to expand... Nimeubeba mkuu sijui nauchunguzaje kwa maandishi Labda nimevuka mipaka kutaja zambi ni utani pia mkuu
Deeboyfrexh JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 3,422 Reaction score 5,594 Dec 6, 2021 #121,315 Lenie said: ✍✍ View attachment 2034976 Click to expand... Waziii😅
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 6, 2021 #121,316 mahondaw said: Joto! View attachment 2035001 Click to expand... mahondaw said: Joto! View attachment 2035001 Click to expand... ...eeeh rangi ya 'mtume'
mahondaw said: Joto! View attachment 2035001 Click to expand... mahondaw said: Joto! View attachment 2035001 Click to expand... ...eeeh rangi ya 'mtume'
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 6, 2021 #121,317 Manga ML said: Yaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani? Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa Click to expand... Ni mwanamke ambae ni mama..
Manga ML said: Yaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani? Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa Click to expand... Ni mwanamke ambae ni mama..
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Dec 6, 2021 #121,318 mtu chake said: ...eeeh rangi ya 'mtume' Click to expand... Nimekununia mimii umekataa kutuma!
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,377 Dec 6, 2021 #121,319 Manga ML said: Uwongo hatakama ni wa utani ni zambi. anakuaje mtumishi? Click to expand... Mweeh ni Mtumishi kiutani tu
Manga ML said: Uwongo hatakama ni wa utani ni zambi. anakuaje mtumishi? Click to expand... Mweeh ni Mtumishi kiutani tu
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,377 Dec 6, 2021 #121,320 Sawa tutaacha Manga ML said: Muache kumpiga mabom ona sasa Click to expand...