Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee huu ndiyo muda wako, utumie ipasavyo. Ukishaanza kulea + majukumu mengine ya kifamilia; hizi ratiba zitakuwa zinakupita sana tu. Jiwekee akiba yako sasa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Ila umenimotivate kuomba.
Nimejiona mzembe Sana, wewe pamoja na mtoto umeweza mimi sasa sina jukumu lolote nipo nashangaa tu[emoji1751]
 
Back
Top Bottom