Umeandika Maombi ya Akiba nikamkumbuka Rafiki yangu mmoja.. Mungu azidi kumuweka..#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKEPRAYSLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938
Vizuri sana kama ni kwemaKwema mkuu, heri ya sabato kwako. Naomba kila ukienda kusali uniombee mkuu
Utaharibu interview...hiyo kesi bado DPP hajaonyesha nia ya kutokuendelea nayo. Anaweza kuifufua wakati wowote.Kisa? Unataka baba P aje anichambe hapa?
Yaniiiii!! Napendelea kuzisikiliza sanaZikimfikia juu Anashuka.
From university of Dodoma praise and worship team.View attachment 2033026
Kama una nyingine nzuri nzuri Naomba nitumie hapa..zile za kuzama rohoni kabisa!
Nzuri sana nimefurahi kwakweli!!
SaintAnne Naomba nyimbo nzuri za kusifu na kuabudu!
AmenUmeandika Maombi ya Akiba nikamkumbuka Rafiki yangu mmoja.. Mungu azidi kumuweka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Kesho nitazitafuta nashukuru za kusikiliza kwa leo wamenipatia hapo juu! Ubarikiwe mamy!Nakuongezea na nyingine; utazitafuta
1. Ni wewe-Mathias Walichupa ft Godfrey Steven
2. Shukrani-Paul Clement
3. Nothing is too hard for you-The Gratitude ft Judikay
4. More than Gold-Judikay ft Mercy Chinwo
5. Everything (Amen)-Timi Dakolo
6. Rafiki Mwema-Chandelier De Gloire
7. Neno lako-Godwill Babette
8. Kiti Ofandi-Mike Kalambay.
9. Goodnessof God- Bethel Music
10. You still love me-Koryn Hawthorne
Utaharibu interview...hiyo kesi bado DPP hajaonyesha nia ya kutokuendelea nayo. Anaweza kuifufua wakati wowote.
Wanao hao hapo
View attachment 2033032
Kama una nyingine nzuri nzuri Naomba nitumie hapa..zile za kuzama rohoni kabisa!
Yameisha.
Naona dada anazidi kurefuka
lile gari kama linapaa hivi.
Nalidis kwa sababu ya michata yake ile ya nje..inaniogopesha.
Nzuri sana nimefurahi kwakweli!!
Zipi hizo tenaeeeh! bwana sie wengine hatupigi hizo zenu za wakubwaaa
Hizo zenye asilimia ya - OL πππZipi hizo tena
am good saaaana in worship Him ( am a worshiper asee).. mie sio mtoa sifaa πππππ za kusifu sipo sana hapoNa za kusifu pia!!
Zileteeee zileteeee..umenirahisishia sana. Kama una na hizi please fanya wepesi hapa