Hapana bhageshi siwezi kujikuta naendelea kuandika hivyo
Nilikuwa najaribu kumuchokoza dada yangu kipenzi mzuri
Makiwendo ili nione anavyochukiaga
Kati ya watu ambao huwa nachukia na kukasirishwa na uandishi wa hivyo ni mimi bhageshi
Hahaha....Yoooo abhakima nabatogilwe no nkoi hasa abape