Selfika na JF: Snap it. Show it

Nini maana ya huo muangalio kwakwe?

Huyu ndo dereva sasa?

Huyu dereva bana anapita vituo ata hasimani?

Mngempa hongera akavimba kichwa[emoji23][emoji23]
Vituo anasimama ila yuko faster..hakuna kuulaza damu.

Siku nyingine itabidi tumpongeze na hela ya soda maana anayatendea haki yale magari ya UDART.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishasemaga mie humu JF kna watu wana stress za maisha, wanatafuta Pa kuzitua leo wanajionesha wazi wazi.

Yaan had nmemuonea huruma, alivoishiwa hoja na kuanza kupanick vibaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuvumiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…