Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.
Bora wewe uliyekuwepo tangu mwanzo useme! Wale wanafiki wanaojifanyaga wanachukia ushoga ilihali wao wana madhambi yao makubwa kuliko hiyo wangekaa kimya hata sijui wangepungukiwa nini, sisi wengine hatuwezi vumilia kuona lijitu lizinzi limeshupaza shingo linamtukana shoga, like nigga what is the fvcking difference between you two?

Kwa sababu ukichunguza kwa umakini ushoga unaanzia kwenye uzinzi watu wangekuwa hawafanyi mapenzi kabla ya ndoa wala ushoga usingeenea kwa kiasi hiki! Kwa sababu ushoga bado haujapokelewa kwa mikono miwili kwenye jamii nyingi sana tena sana hivyo ni ngumu sana wanaume wawili mabikira eti wafunge ndoa wakashikishane ukuta!

Ushoga kwa asilimia kubwa huanzia na kufanyika kwenye mazingira ya uzinzi ila hapa watu wanajifanya wanafiki kama vile dhambi wanazofanya wao ndiyo ndogo sana! Wazinzi ukiwaambia watakuletea upumbavu wa sijui kuuziwa mbuzi kwenye gunia na takataka nyingine kama hizo na wanaamini kwa vile watu wengi duniani wanafanya basi eti ni halali!
 
THANK YOU
 
Ushoga hapana ndugu yangu inatakiwa ukemewe vikali Sana na Hawa madogo inatakiwa waoneshwe Kila aina ya torture wajue jamii haitaki ,, wew chukua mfano rahisi tu mtu aseme huyu mlevi na huyu shoga Nan jamii inamuona sio wa kawaida
Mkuu hiyo jamii yenyewe imejaa maovu na unafiki tu! Jamii ambayo inamuona mzinzi yuko sawa na shoga hayuko sawa ni jamii ya mashetani kama mashetani wengine tu!
 
Mdogo wangu hebu chukua pepsi hapo kwa mangi
 
Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…