Selfika na JF: Snap it. Show it

Hey, madam let's end here this shit please,it's enough for today

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Yani tangu Jana kila nikiingia kwenye huu Uzi Stori ni ushoga,utom boy na ulesbian.Inatosha asee

Nitawacharaza bakora wote mnaojibizana hizi Stori


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.
 
et shoga kubabeeek.....yani unafananisha bia/kvant na mwanaume kuinamishwa



fun
Ni yeye

Na nyie tungewaandama humu kuhusu hizo pombe je .
Nyie ndio mnaoleta utaratibu wenu mnaoujua nyie kuhusu dhambi.

Kalumbu ukiwa mlevi,na mwingine akawa shoga na mwingine akawa msengenyaji yaani nyie wote ni motoni.

BTW sikuona kama wanapromote hayo mambo maana walikuwa wanajichatia tu kuhusu mionekano yao.
Hakukuwa na sababu zozote za kuvamia comments zao na kuanza kuattackiana
Nyie wenyewe mmeanza kuzungumzia kufirana wakati wenyewe cocastic na Karma wala walikuwa hawazungumzii hayo yenu ya kufirana.

Ukisema unamshupalia mtu kisa tu walikuwa wanapiga stori zao,na sisi tukisema tuanze kuwanyanyapaa hapa walevi na tukawakandia kabisa msihamasishe ulevi..ama msipost picha za pombe mlizojaza ndani,

Au nyinyi walevi mkitushupalia sisi wenye picha za hovyo na tunaobebishana kwamba tusifanyw hivyo..
Au vipi wale wanapost picha zao wapo wanapimana virusi tayari kwa migegedo(Namaanisha wazinzi)
Unadhani kuna mtu angebaki humu?
 
Kwamba tyuuuu....Jomoni


Umenichekesha mno SYB..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba tyuuuu....Jomoni


Umenichekesha mno SYB..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo lakini besti?

Ndiyo. Kuna ukakasi sana ukiona avatar ya kiume inasema "jomoni, hatimaye tutaelewana tyuuu.." ila inabidi tuvumiliane na kuchukuliana kwa sababu hakuna aliye mkamilifu kati yetu. Sote tutaokolewa kwa Neema za Mungu tu na si ajabu siku ya mwisho unakuta huyu wa jomoni na tyuuu ndo anaenda mbinguni. Tusihukumiane; na tukanyane kwa upendo!
 
Waambie hao wanaochagua dhambi! Mfano mimi siyo mzinzi jambazi wala msagaji na nachukia hayo matendo, lakini huwa najiepusha sana kuwahukumu wazinzi majambazi na wasagaji kwa sababu najijua mimi ni mlevi, sasa nikisema eti nijione mtakatifu au nina afadhali eti kisa dhambi ya ushoga ndiyo inaonekana ina madhara makubwa sana kuliko ulevi sitakuwa sahihi na nitakuwa mnafiki tu sababu zote hizo ni dhambi!
 
Na Kuna watu wanawatetea humu kwakweli inasikitisha Sana huu Uzi ulikua Bomba Sasa ni takataka
Bomba kwa sababu tunavumiliana na kuchukuliana hivyohivyo.

Ukute hata wewe picha za pombe
Unazopost zinakera watu ila ni vile tu wanavumilia.
Jitahidini na nyinyi kuwa wavumilivu watu wanapopiga stori zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…