nimecheka sana tena mno naona umekerekwa sana, wee huyu uwe na hoja za kupinga?
Uzuri wake sasa mambo yote yako hadharani, labda nkukumbushe rejea saka saka ya mashoga ya makonda, afu rejea tamko la serikali yako tukufu, utapata majibu.
uzi huu n wa selfika, usitake kuanzisha mada nyingne, nakupa ruksa sasa, kaanzishe huo uzi unaohusu hili unalolitaka afu tushindane kwa hoja, nakupa ruksaaa.
Nwei watu mtume picha zenu, km uzi unavyotaka