Hayo mambo situmii mkuu! Umri ulishanitupa mkono. Purukushani zingine unawezafupisha siku za kuishi. Huu sio wakati wa matukio, ni kufanya yale yanakupatia furaha sio karaha ( ogopa sana kuweka furaha yako mikononi mwa mtu mwingine).