Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.
Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa
Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe
So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day!
View attachment 2028650
St. Kayumba kama St. Kayumba