Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣

Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.

Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa 🙄🙄 Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe 😁🙈🙈 So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day!😏😏

St. Kayumba kama St. Kayumba 🙂
 
Hahaha[emoji23]
 
Wewe utakuwa huyo wa katikati Lizzy [emoji3]
 
Nehii nehiii!!! Mi wajeiefu tulishashindwanaga longiii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!![emoji854]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yako tukuachie mwenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipotaja jina langu tyuuh, umeharibu kila kitu, utakuja utukanwe na ukemewe pepo, huyo memba wa jina la soda ana damu ya kunguni shauri yako, lol.
Kijana wa kiume vipi[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…