wazinguaji wengi.
Mahusiano ya kimtandao wengi wanachukia kwa sababu ni rahisi zaidi mtu kujenga character flani ambayo si yake. Siku unajua uhalisia its too late.
hata wanawake sijui zile picha wanapigia angle gani , unaona ana umbo zuriii, ukimuona sasa live utakimbiaπ€£π€£π€£.
Wengi wanakua dis appointed.