Habari za asubuhi kwangu ni kwema kbs mkuu
Leo tumeamka na baraka ya mvua
Kuhusu huyo mtoto
Depal mtunze sn maana kuna wahuni tunammezea mate mithili ya fisi anavyotoka udenda Kwa kusubiri mkono wa binadamu uanguke pale anapoirusha rusha wakati anatembea