Speed test std 7. Hisabati maswali 50, nikajibu maswali 49 swali la mwisho nikaweka signature kwenye jibu. Nikascore 49/50, aisee mwalimu alinitia stiki nyingi akaona ni dharau. Nilipelekwa ofisi ya walimu aisee usiombe ukapelekwa ofisini halafu walimu wakaalikana
Habari za asubuhi kwangu ni kwema kbs mkuu
Leo tumeamka na baraka ya mvua
Kuhusu huyo mtoto Depal mtunze sn maana kuna wahuni tunammezea mate mithili ya fisi anavyotoka udenda Kwa kusubiri mkono wa binadamu uanguke pale anapoirusha rusha wakati anatembeaπ