Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Mimi nakataa kabisa..na niliuona huo Uzi wa bro Mshana JrKwenye story zenu huko si nilisikia ni Mshana Jr ?
Tayari mshabadili [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unaogopa asiione nani hapa?Hiiiiiiiiiiiiiiii! Yangu Sio nzuri ndiomana
Siogopi mtu!! Kule wapi mimi sipendi kujificha ficha ujue!Unaogopa asiione nani hapa?
Basi niletee kuleeee simwambii mtuu
Hiyo hangover itakuwa imesimamia ukuchasinywi tena pombe aina ya kvant......nimekunywa energy 3 maji kibao plus supu hang over imegoma.....[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]View attachment 2027109
Mkuu ugali kama wa Lizzy utashiba kweli?
Kijana amepiga vyombo kapitilizaHiyo hangover itakuwa imesimamia ukucha
Iliwahi kunifanya kitu mbaya 2008 ile toleo la zamani nikaichukia mazimamateso bila chuki[emoji39]View attachment 2027113
Haya shusha mzigo sasa na bahati nzuri mkuu Mshana Jr ameshatia timu anakua shuhuda hapaSiogopi mtu!! Kule wapi mimi sipendi kujificha ficha ujue!
Duh. Hahaha[emoji23]Mimi nakataa kabisa..na niliuona huo Uzi wa bro Mshana Jr
kwenye ule Uzi Kuna sifa ya huyo Demis hao wanaomjua waliitaja nilicheka sn.. wanasema ana pua kubwa 'kweri kweri' kuliko ya Baba levo[emoji28]
Sasa hii sifa ya pua kubwa Tyr inakutenganisha wewe na yeye,wangesema Una dimpozi ya shavu moja ningekubali[emoji12]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nimemtamani huyo samaki na kalimao na kapilipili mbuzi dahhhh![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu mahondaw huyu Depal ndy mgumu hasa..Mimi nawapenda wameru[emoji2956]Poleni jamani nani anakaza kati ya dipa na mtakatifu dadamtu niwafanye makeke walainike?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Ngoja nimseti usiwaze DepalMkuu mahondaw huyu Depal ndy mgumu hasa..Mimi nawapenda wameru[emoji2956]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
misosi imegoma ni mwendo wa energy tuu....Hiyo hangover itakuwa imesimamia ukucha
Wee mganga unashiba kweli???😂
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]sinywi tena pombe aina ya kvant......nimekunywa energy 3 maji kibao plus supu hang over imegoma.....[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]View attachment 2027109
heshima yangu kwako ilikua kubwa sana....kumbe ww ni PEPSI???.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heshima imeporomoka Pwaaaaaaaa.........!!!!
Ooh!!KumbeNimemtamani huyo samaki na kakimao na kapilipili mbuzi dahhhh![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]