Kwenye story zenu huko si nilisikia ni Mshana Jr ?Depal ni wa T 1990 ELY msiniingize kwenye ugomvi na mtu πππππ aseee sie tuendelee kupambana na hali zetu
Mie sijui, hataKwenye story zenu huko si nilisikia ni Mshana Jr ?
Tayari mshabadili ππππππ
Nimewahiwa na nani? Acha kuniwekea kauzibe ππJamaa anatibua maji πππ, shida mkuu hatuna pesa.. kama pesa ingekuwepo mbona na sie tungekuwa nao.. acha tuzisake tu na sie tutapata wa kufanana na sie, ila sema ka Depal ni ka kisu sema ndio ivyo kama wahiwaaa π π
Umekaa kinyarwanda πSaint Anne mdogo wangu fanya kunifanyia assist dadako nikatengeneze simu picha ikuwe klia jamani![emoji854][emoji854]View attachment 2026092
mnatutesa sana mie na Satoh HiroshSaint Anne mdogo wangu fanya kunifanyia assist dadako nikatengeneze simu picha ikuwe klia jamani![emoji854][emoji854]View attachment 2026092
kauzibe gani naweka aseee ππNimewahiwa na nani? Acha kuniwekea kauzibe ππ
Habari za asubuhi DepalAah ndiyo story zenu hizi wenye majina wakiwa hawapo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne Depal @Cocasti wadogo zangu fanyani kunifanyia assist dadaenu nikatengeneze simu picha ikuwe klia jamani![emoji854][emoji854]
#womensurpotingwoman#
View attachment 2026092
Hii mbona ipo klia.Hapana ni style ya nywele nlosuka[emoji12]View attachment 2026102
Unataka kusema na wewe ulitii agizo la Paul Makonda la kuhama dsm kwa ambao hatukuwa na shuguli ya kufanya?
Pamoja na Uzee wangu ililazimu nihame dsm kukimbilia Mkoani πππ
Poleni jamani nani anakaza kati ya dipa na mtakatifu dadamtu niwafanye makeke walainike?? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!mnatutesa sana mie na Satoh Hirosh
π³πππππππππππππHii mbona ipo klia.
Ebu tumia camera hii sasa kupiga picha.
Nimefaidi mno mkuu[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47] Basi umefaidi aseee.
Mtaamu kama nini [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]..
Kwema kabisa kaka mkubwa T 1990 ELY .. bado tupo tumejikunyata na mvua tu vitandani
Siku ukiacha kuzingua nitakupa zawadiSaint Anne Depal @Cocasti wadogo zangu fanyani kunifanyia assist dadaenu nikatengeneze simu picha ikuwe klia jamani![emoji854][emoji854]
#womensurpotingwoman#
View attachment 2026092
Mmmmmmmh[emoji41]
View attachment 2026106
Hatuna pesa sasa ndio shidaa, wala magari. Satoh Hirosh ndugu ebu uje tujieleze tunaweza pata msaadaPoleni jamani nani anakaza kati ya dipa na mtakatifu dadamtu niwafanye makeke walainike?? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Nini braza?Mmmmmmmh
Hongera Mkuu, sasa wajiandae kuuziwa Mchele 1 kilo @ 3,000 December hii. Niko mbioni kuwapelekea Mchele wa kutosha kutoka huku Kijijini πͺMie nilitii kikamilifu mzee mwenye nyumba aliposema ikifika July ataeendelea kubaki Dar ni mwanaume, nikaona isiwe tabu. Nikabeba kibaiskeli na nguo zangu huyoo...najipumzikia huku machakani
View attachment 2026104