hata mimi nilikuwaga nasema ivyo ivyo nilikuja kujikuta nimedata kwa ka. fala fulani tu hakana hata mzigo kiivyo na kananiendesha hatari ndipo nilipogundua maisha hayana formula