Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha viumane mi niliuchuna tuu!![emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi niliona kule kwenye uzi fulani hivi.


Ila mtu kubadilika ni ngumu aisee,,
Tone ya uandishi huwa inakuwa ileile.


Halafu hadi leo nasubiri ile picha nzuri ya sketi ya marinda[emoji3059]
 
Kuna dogo hapa mjanja sana wa haya mambo. Naamini anaweza kuisafisha hii picha bila wasiwasi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiboko ni screenshoot unaipiga hivyo, alafu unachapa screenshoot.. hakuna hata wa kuondoa ukungu, picha za mitandaoni nyingi napenda weka za screenshoot kwasababu hazi contain data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…