Oohwwwwwe 😋😋😋😋
dah umejua kunitamanisha.... sijui lini nitapita kula kuku hapo
naona pametengenezwa
Binafsi nimeona Kuku wa Chako ni Chako ~ Dodoma ni watamu kuliko hao wa Singida ingawa wote wanatoka Singida 😋
Chako ni chako ~ huenda kuna mambo yana suport utamu wa kuku wa hapo mkuu wangu 😀😀😀Binafsi nimeona Kuku wa Chako ni Chako ~ Dodoma ni watamu kuliko hao wa Singida ingawa wote wanatoka Singida 😋
Padogo, hamana parking, wahudumu sio wazuri, mziki system sio nzuri ka eneo ka band sio kazuri, basi unajikuta huna pa kwenda ndio unajikuta umetokea tu haponaona pametengenezwa
Kuna utamu wake kwenye haka ka mji 😀😀.. sema ukiwa na mbebs una enjoy zaididah umejua kunitamanisha.... sijui lini nitapita kula kuku hapo
last time ilikuwa 2017 nikiwa naelekea Mwanza na mbebs
nimepita hapo juzi nikaona pamekuwa paajabu sanaBinafsi nimeona Kuku wa Chako ni Chako ~ Dodoma ni watamu kuliko hao wa Singida ingawa wote wanatoka Singida 😋
Hahahaha.........ngoja wenyeji wa Dodoma waje watie neno hapa kwenye utamu wa Kuku wa Chako ni ChakoChako ni chako ~ huenda kuna mambo yana suport utamu wa kuku wa hapo mkuu wangu 😀😀😀
Kweli Mkuu? Nahisi hawa wamenirogea kwenye Kuku zaonimepita hapo juzi nikaona pamekuwa paajabu sana
Chako n chako kuku wake ni amazing sana.Hahahaha.........ngoja wenyeji wa Dodoma waje watie neno hapa kwenye utamu wa Kuku wa Chako ni Chako
Katika dodoma moja ya eneo naonaga la kiwaki sana ni hapo yaani hapajawai kabisa nivutia hata dk moja.. kuna wabunge wanaenda kununua pale itapendeza waje watueleza utamu wa kuku wa chako ni chakoHahahaha.........ngoja wenyeji wa Dodoma waje watie neno hapa kwenye utamu wa Kuku wa Chako ni Chako
kweli mkuu , mwanzo wa november nilipita hapo sikuenjoy kabisaKweli Mkuu? Nahisi hawa wamenirogea kwenye Kuku zao
Nakuunga mkono pa hovyo sana pale pachafu kwanza, nafikiri panabebwa na mambo mengine palenimepita hapo juzi nikaona pamekuwa paajabu sana
Amani kwako
Kuna mengine weweee 😀😀😀 sio kuku tuKweli Mkuu? Nahisi hawa wamenirogea kwenye Kuku zao
alafu kesho jioni nakuwa dodoma tunachapa tu mwendo alafu mwanza then dar es salaam 😀😀😀😀Amani kwako
Duuuh.alafu kesho jioni nakuwa dodoma tunachapa tu mwendo alafu mwanza then dar es salaam![]()