Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukute mdogo wake mwingine sasahivi ni Adonai na angekuwa na kaka yake si ajabu angeitwa Shama.
Safi sana.

Hapo wangekuwa wengine sasa
,wangetamba shule nzima.
Nadhani hata shule mliyosoma inachangia kutokujimwambafai maana ni shule za watoto wa vigogo tu.
 
Haha umenikumbusha pia kuna familia naifahamu tulikuwa tunasali nao kwao wako wawili tu Shama na Jesha. Huyo Shama ni wa kike na Jesha ni wa kiume huyo Jesha yeye kwa sasa anasoma chuo Marekani.

Ilikuwa shule ya kawaida tu sema tulichanganyika watoto wa vigogo na watoto wa wakulima. Watoto wa vigogo pocket money walizokuwa wanaachiwa daah watoto wa wakulima tulikuwa tunabaki midomo wazi tu.

Mtoto anaachiwa pocket money ya wiki sawa na mshahara wa mtu wa mwezi mzima. Visiting day sasa wazazi wengine wanakuja wanapaki ma V8 na ma RR wengine wazazi wetu wanakuja na noah au madaladala yote maisha tu.
 
Unakuta pocket money yake ya wiki ndio mshahara wangu wa mwaka mzima
Maisha haya
 
Karma, mbona hata Kikwete ni mkulima🀣
 
Nywele tunazitoa wapi sasa? πŸ˜‚ au tukaibe kwa yule fudenge ??

Kwanza niulize mnawezaje kukumbuka kuvua hereni usiku? Haka ka kipengele me kalinishinda sijui kwa kuwa navaaga tudogo tudogo tu.
Team short hair πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
🀣 fudenge yupi em nikumbushe

Yaani bado ni kipengele kwakweli ila napambana hivyo hivyo, sa zingine uko bafuni unapaka zako sabuni ndio unashtuka hereni bado zipoπŸ˜‚πŸ˜‚
Ila napenda sana hereni, we huvai?
 
Fude fudeee nani mwingine Kama sio fudenge? Kitu kizito 🀣🀣


Me naoga nazo nitabadili siku najisikia kubadili au nimezichoka natoa kuzitupa... Navaa ila changamoto kukumbuka kuzivua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…