Selfika na JF: Snap it. Show it

Sababu wanaume wengi wa JF wamekula Red pills. Na ni ngumu wao kuwa manipulated ndio maana unawaona wako hivyo.
Manipulated? Hivi kwanini wanaume wengi mnaona kama kuwa fair kwa wanawake ni kuwa manipulated?
 
Nyooooo[emoji57][emoji57][emoji57] so hutaki nimuone ai una roho ngumu mdada[emoji35][emoji35][emoji35]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ roho Yangu me nyepesi, ni wewe tu ndio ulikaza
 
Nimecheka jamani.
Tege utoe wapi katoto kamiss miss
 
Magunia yapi? Nguo zako nzuri tena zinakupendelea zinakupa na hips[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…