Huyu dada kwa kunipa vitu namkubali,,hapo amenigawia na tugauni tuzuri twa kibinti..
Yaani sijawahi kwenda kwake nikatoka mikono mitupu.
Mimi namshukuru Mungu ke tupo wengi,ila nimebahatika kaka wawili tu ambao ndio nimefuatana nao.
Uzao wetu umekuwa vise versa,dada zangu wote wanazaa watoto wa kiume tu,na kaka yangu ana mtoto wa kike.
Sent using
Jamii Forums mobile app