Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hebu nipe movie 2/3 kali kali nizipakue..

Reminiscence, hii ni moja kati ya movies kali sana mwaka huu. Nimependa sana kuanzia uigizaji mpaka storyline.


I Care A Lot. Hii nayo nzuri sana inaelezea jinsi watu matajiri wanavyokuwa heartless.
Hornet Hii ipo Netflix.

Playing God. Hii nayo kali sana.
 
🀣😁😁😁
Dogo ni upcoming mdukuzi..
Kama ma-uncle wenyewe ndo kama wewe na mama ni amateur....I repeat....AMATEUR hacker Sitoshangaa πŸ˜†πŸ˜†

Ila utoto raha sana πŸ˜…πŸ˜…
I still remember ujinga nilioandika after I hacked someone's Facebook and (enzi hizo πŸ™ŠπŸ™Š) yahoo email πŸ™ˆπŸ™ˆ

Mungu na muhusika wanisamehe kwa ujinga ule πŸ˜πŸ˜πŸ™‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…