Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
Wewe hujui hata kunyoga mzee. Inaonaekana bado ni learner.Machana nikatoka job nikaenda geto mara 1, nikanyonga vijiti, ki1 cha kuranduka usiku!!
N.B. Nakula vijiti vidogo vidogo mara 1 kwa mwezi tu kwa malengo maalumView attachment 2008202View attachment 2008203
Hahaaa wacha tuoneLeo usiwe mchoyo bana.
Wewe ni expert?Wewe hujui hata kunyoga mzee. Inaonaekana bado ni learner.
Ila we binti 🤣🤣🤣Hebu tulione kwa chini lilivyo.
Nataka nilinganishe na langu.
Picha zangu zipo nyingi sana humu mkuu.Safi. Mpiga picha embu naomba umpige picha mpiga picha halafu uweke hiyo picha hapa kwenye picha zenzake
Tuone.Ila we binti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No. Siwezi kabisa hata kuunda ila najua muundo wa mtaalamu na wa mtu asiejua.Wewe ni expert?
NdiyoPoa mkuu. Ngoja nitie kambi
Sawa France.No. Siwezi kabisa hata kuunda ila najua muundo wa mtaalamu na wa mtu asiejua.
Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
JumapiliSawa France.
Selfika basi kidogo,ubariki uzi wetu.
Niko hapa nasubiri mamii.Hahaaa wacha tuone
[emoji23][emoji23][emoji23]Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
SawaNiko hapa nasubiri mamii.
Siku hizi huku tunaoga maji ya baridi...Nikaoge tena [emoji119][emoji119]
Asante daslamView attachment 2008223
Wengine umri wa wanetu kabisa.Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
Ni kweli mkuu!! ila stim si ni zile zile?😂Wewe hujui hata kunyoga mzee. Inaonaekana bado ni learner.
Mwee umeicrop mno hadi silioni vizuri