Ila wengi wanatumia Kichumi[emoji2][emoji23][emoji23]Yeah hizo njia zinakuwa hivo..ndo maana nikakuambia lugha hazifanani.. ndani ya wilaya moja tu lugha tofauti watu hawaelewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yeye tu hajui,
Kwani uongo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ni yeye tu hajui,
Anasingizia kichaga.
Hizi lugha huwa zinaendana,na kuna maneno common.
Sawa mchaga wa daslam
Poa Ambition plus , habari ya wewe.Mambo Lenie?
Hakika nimetamani kuona na sura walahi.
Leo usiwe mchoyo bana.Poa Ambition plus , habari ya wewe.
Sawa, basi itabidi siku nikiamka vizuri nijipost huku unione
Hebu nieleweshe mkuu!
Sawa mkuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ni kijiweni mkuu. Tunapiga mastori
Lenie usiwe mchoyo banaPoa Ambition plus , habari ya wewe.
Sawa, basi itabidi siku nikiamka vizuri nijipost huku unione
Mimi ni mpiga picha niliyekuwa kwenye mwendokasiMkuu wewe ni yupi hapo?
Soma uzi mkuu, unajieleza.Hebu nieleweshe mkuu!
Lenie usiwe mchoyo banaPoa Ambition plus , habari ya wewe.
Sawa, basi itabidi siku nikiamka vizuri nijipost huku unione
Mara moja kwa mwezi na umeweza kucontrol hivyo that's good..Machana nikatoka job nikaenda geto mara 1, nikanyonga vijiti, ki1 cha kuranduka usiku!!
N.B. Nakula vijiti vidogo vidogo mara 1 kwa mwezi tu kwa malengo maalumView attachment 2008202View attachment 2008203