Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaitaka hii rangi ya Aggrey? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my wiii, iv una nn wee lakn?
Wenzako tunalalamikiwa rangi zetu za baridi yaan msuguano had nusu itoke ngozi bado tyuuh, sasa rangi za aggrey zina moto hataree, yaan kugusa tyuuh "pwaaaah" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutacheza mpira lini baba?
Au ndio hadi Mbinguni??

Kumbe mama Mtumishi amekaa kimiss eeh?
Baba unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa![emoji1787]
Asante baba Mtumishi kwa sifa hizo.

Ni saa nzima baba nakuomba picha,mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mambo,
Weka picha tufunge huu mjadala.
Mataga washalala baba[emoji120]
Silali leo bila picha ya sura yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…