Nasikia huo msindano upo kama wa ng'ombe ππHahahaha.....una nifurahisha mjukuu π
Wakati nyie mnaogopa HIV, sisi enzi zetu kulikuwa na ugonjwa unaitwa Kaswende, na Gono. Tulikuwa tukiogopa sana hadi pale miaka ya '73 Wazungu walipotuletea Sindano kutuponya ππ
Jamani mbona sina hata za kusingizia πMdogo wangu mbona hata wewe unazo jamani? [emoji6]
Nakwambia ilikuwa balaa, nakumbuka jirani yangu mmoja aliwahi kuchomwa ile Sindano alilala kitandani mwezi Mzima akiugulia maumivu ππNasikia huo msindano upo kama wa ng'ombe ππ
Asante baba, nimeona umependeza [emoji173]Naam mama mtumishi.
Kuna miaka lukuki hapo mbele ya kumtumikia Bwana.
Selfie hii hapa mtumishi mwenzangu.
Karibu, tuupige mwingi kama mama π
View attachment 2007216
Naam [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Am okay, so missing U beautiful lady!Nipo, mambo yako?
Miss you too.Am okay, so missing U beautiful lady!
Imekosekana pepsi baridi baada ya hapo ni kuuchapa usingizi tuUkisikia ugali wa Kisukuma mtu unakula unashiba ndo huu sasa. Mgumu kama jiwe [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2007221
Kweli aisee umepatia. Baada ya hapo lazima kiusingizi kikupitie [emoji16][emoji16][emoji16]Imekosekana pepsi baridi baada ya hapo ni kuuchapa usingizi tu
Thankiu nafuta sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good man!.
Ahsante kwa picha Saguda.
Kwa kweli... Hebu ongeza nyingine full.Wekeni picha msiogope, kama wewe siyo mhalifu hofu ya nini? Enjoy life
Asante baba.G
Glory be to HIM
Yeye akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu ati, true story!
Mtumishi mwenzangu uliona sura siku ile. Haijabadilika
Kipya leo ni hili shati [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2007247
Aloooh we mtoto π€£π€£Asante baba.
Kumbe kifuani si haba pia baba[emoji847]
Nasubiri sura baba,
Unamnyima mama mtumishi kweli?
PGO hainiruhusu my luv![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kweli... Hebu ongeza nyingine full.
Unachokitafta utakipata tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2006918
View attachment 2006921
Tuendelee kukumbushana umuhimu wa kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Kama una mpenda, utamlinda [emoji109][emoji123][emoji123]
PGO my foot ππ hebu do the needful..PGO hainiruhusu my luv![emoji1787][emoji1787][emoji1787]