Selfika na JF: Snap it. Show it

Inabidi niwe mgeni wako sasa, nije nipige ulanzi mpaka niongee алкоголь
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] now nko mjini huku, ila nmeagiza jmos wanantumia, km upo town ntaku letea.
 
Hata mimi nakubali action na hii movie ipo category ya action pia. Si unajua movie za siku hizi wanachanganya movie genres? Na hii ina story nzuri, its scifi na action you wont get bored.
 
No Time To Die pia upo sawa, nimeona hata ratings na critics wameipa alama za juu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] connector au terminator, hat sielew yaan.
My wiii ukorofiii.
Dalali naomba namba yako nikupigie 🤣🤣🤣🤣

Sasa my wiwi ni nini kuniambia mambo ya tiiaraei na unajua Ku brazaaa.!! Aaah ukorofiii huoo
 
Dalali naomba namba yako nikupigie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa my wiwi ni nini kuniambia mambo ya tiiaraei na unajua Ku brazaaa.!! Aaah ukorofiii huoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasema atafunga watu, ila mama tariq nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…