Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Hebu leta tuone kama yaliyomo yamo.Sie kwetu weekend ishaanzaView attachment 1217237
mama ake; bora uchukue nafasi ya kunitafutia masoko tu kwenye makampuni ujue: maswala ya vitalu tusidaineHahahaha
Kwa nini eti babake
Nasubiria hapangoja nikimaliza kumwaga zege nitatuma
Mzee fanya haraka si unajua ngoja ngoja yaumiza matumbo ?Subiri kwanza nihakiki kama ni OG
Babe kwahiyo cha arusha kinamfikia mdogo wangu eenh
Soma hukooLink imenipeleka kwa browser uko imenibidi nisome juu kujua jukwaa gani ndio kuingia kwa app
Babe kwahiyo cha arusha kinamfikia mdogo wangu eenh
Hahahah mrefu huo baadae nikiwa lindo kukitulia nitauanza kuanzia mwanzo mpaka mwishoSoma hukoo
Sema kweliTulia utarogwa.